Show

Sifa

Sifa

Kipindi cha mziki kinacho angazia nyimbo za kumsifu mwenyezi Mungu. Hapa tunawapa waimbaji mbali mbali nafasi ya kukubariki kupitia kwa talanta yao ya mziki.

Latest episodes

October 21, 2018

Jiunge nasi kwa baraka kupitia nyimbo huku wanachoir wa naivasha ya kati wakitubariki kwa sehemu ya kwanza kisha wasichana kutoka St. Georges girls wakitutamatia makala haya pambe. Pata kubarikiwa

July 11, 2018

Choir ya watoto kutoka Ruiru watuandalia makala haya ya Sifa wakitubariki na nyimbo zao nzuri. Barikiwa

May 30, 2018

Safari ya makala ya Sifa medley hii leo ya pambwa na kwaya kutoka sehemu ya Kitengela. JIunge nasi tupate kufahamiana nao na kumsifu ,mwenyezi Mungu. Barikiwa

Host

Contact us

Please don't fill in the following two fields!

Please contact us if you have any questions, comments or messages. We'd love to hear from you!