Sifa

Jiunge nasi kumsifu Mungu kupitia Nyimbo kutoka Vikundi mbali mbali vya Injili

 
Siri ya Ushindi

Karibu katika awamu ya mafunzo ya kiina ambayo ukuu wake ni Mwenyezi Mungu kuwapa wanawe nguvu za ushindi kutoka pingu mbali mbali ya maisha. Hii ni Siri ya Ushindi.