Naivasha Central Church Choir & St.Georges Girls High School
 

Sifa / October 21, 2018

Jiunge nasi kwa baraka kupitia nyimbo huku wanachoir wa naivasha ya kati wakitubariki kwa sehemu ya kwanza kisha wasichana kutoka St. Georges girls wakitutamatia makala haya pambe. Pata kubarikiwa

 
Ruce Kids Choir
 

Sifa / July 11, 2018

Choir ya watoto kutoka Ruiru watuandalia makala haya ya Sifa wakitubariki na nyimbo zao nzuri. Barikiwa

 
Kitengela Medley
 

Sifa / May 30, 2018

Safari ya makala ya Sifa medley hii leo ya pambwa na kwaya kutoka sehemu ya Kitengela. JIunge nasi tupate kufahamiana nao na kumsifu ,mwenyezi Mungu. Barikiwa

 
Safari ya Sifa
 

Sifa / May 23, 2018

Jiunge nasi tupate kutazama makala pambe ya sifa huku tukiangalia nyuma kwa kwaya ambazo zimepata kutuandalia Sifa juma zilizopita. Barikwa

 
Kisumu South Ambassadors
 

Sifa / April 01, 2018

Sifa English Edition all the way from West Kenya Union Conference, grace the day

 
Bidii Youth Choir
 

Sifa / November 13, 2017

Vijana kutoka Kitale wajiunga nasi kwa kupitia Nyimbo na tenzi za rohoni. Jiunge nasi tupate kebarikiwa pamoja.

 
Son's of the Lamb
 

Sifa / November 09, 2017

Huku wakitumia sauti zao ilikupata kueneza injili katika sehemu hawawezi enenda kwa neno, Kikundi cha Son's of the Lamb kutoka Mombasa watuandalia makala haya.

 
Makongeni Church Choir
 

Sifa / November 09, 2017

Wanakwaya wa kanisa la Makongeni watuandalia makala haya ya Sifa huku wakiwa na ushuhuda na nyimbo za kuvutia, Jiunge nasi tupate kubarikwa pamoja!!

 
St. Charlse Mutego Education Centre
 

Sifa / November 09, 2017

"Nimepungukiwa hatua zangu nirehemu bwana nishike mkono" ndio moja wapo za nyimbo ambazo wanafunzi hawa wanatuandalia hapa HCK. Barikwa!!