Je watoto wanapobarikiwa na talanta ya uimbaji waitumie katika vikundi vya watoto ama kwaya ya watu wazima?. Ndani ya studio ni waimbaji toka kanisa ya Chepkwoyo. Barikiwa
Wengi wameitwa katika nyanja za uimbaji. Ushirikiano ni muhimu katika nyanja hii ila nyakati zingine mahusiano yetu ni ya kutia shaka. Katika studio zetu ijumaa hii tunaungana na wanaKuja Nyokal kwenye SIFA.