H-Express
Mazungumzo yanayozingatia maisha mema katika familia.
Videos
Kweli kwamba familia inapitia changamoto kadhaa. Je ni njia gani inayopaswa kusuluisha migogoro au mizozo hizi?
Mara kadha wa kakadha yathaniwa kuwa wanawake waafikiwa kwa mahitaji yangu, lakini swali kuu ni Mahitaji yao ni yepi? JIunge nasi katika mazungumzo haya.
About the Show
Kipindi kinacho angazia maisha ya familia.
Mazungumzo haya yanapania kukuza familia katika kuwa katika maandishi ya Bibilia na kulingana jinsi Yesu alipania familia ziweze kuishi. Mchango kuu yaja kulingana na changamoto ambazo familia zinapitia huku tukupata washauri wakizungumzia na kutupa muelekeo.
JIunge nasi usipate kupitwa na mafunzo haya.