Sifa
Jiunge nasi kumsifu Mungu kupitia Nyimbo kutoka Vikundi mbali mbali vya Injili
Videos
Wengi wameitwa katika nyanja za uimbaji. Ushirikiano ni muhimu katika nyanja hii ila nyakati zingine mahusiano yetu ni ya kutia shaka. Katika studio zetu ijumaa hii tunaungana na wanaKuja Nyokal kwenye SIFA.
Barikiwa na wanakwaya wa Angaza katika makala haya pambe ya Sifa.
Tunavalia njuga swala la matumizi ya picha za kuhofisha katika nakala zetu za video. Ndio swala tunaloliangazia ndani ya studio zetu tukiwa na Wanadominion Voices, Usikose!
Hii leo katika SIFA tunajadiliana kuhusu kazi ya fundi wa kitambo kwa ushirikiano na waimbaji wakitumia kanda za wimbo kanisani. Ungana na Lavet Chacha Marwa akiwahoji wana Great Zion Singers. Barikiwa.
Wakituletea wimbo kama "Tawala naye Yesu aliyeshinda nguvu na maovu yake shetani." Jiunge nao Mercy Brothers kwa mibaraka.
Jiunge naye mwelekezi wetu Lavet akituletea kikundi cha wanawake walioungana kumtumikia Mungu kupitia sauti zao.
Barikia na ladha mpya na tofauti ya nyimbo nao wana Divine ministers. Karibu
Jiunge nasi katika ibada kupitia nyimbo nao waimbaji wa Angelic ministers.
You might also like
Join in with us in praise through acapella music for its the breathe of God.
What you need to know about music. Andrew and Diane takes us through Music and it's impact on our society today.