Siri ya Ushindi
Karibu katika awamu ya mafunzo ya kiina ambayo ukuu wake ni Mwenyezi Mungu kuwapa wanawe nguvu za ushindi kutoka pingu mbali mbali ya maisha. Hii ni Siri ya Ushindi.
Videos
Many a times we don't know how to treat the widows, and at times we claim to help the widow or widowers, but the truth is we give empty promises. Join in as we share powerful testimonies
Jiunge nasi katika mazungumzo ya leo baina ya Dada Catherine na Ndugu Kana huku tukizingatia zaidi katika siri ya ushindi humu ulimwenguni mkazo ikiwa kwa Yesu
With a tough childhood upbringing Princess now a journalist shares with us on her undivided love for Christ's working through her life and the "secret"-Siri ya Ushindi. Be blessed.
You might also like
Testimonies of answered Prayers.