Waasisi Wa Kanisa

Simulizi za wachungaji waastafu katika safari yao ya Imani ya Kiadventista hadi kustaafu kwao

Waasisi Wa Kanisa

About the Show

Mungu amekuwa akiwasiliana na watu wake kupitia watumishi alioteuwa. Watumishi hawa walikuwa katika taaluma tofauti tofauti, hata leo Mungu anatumia watu wa hulka na tabaka mbalimbali ilikutimiza kazi iliyobaki.

Kipindi hiki kinaangazia wachungaji waliostaafu, jinsi walivyo itikia wito wa utumishi katika shamba la bwana na safari yao ya utumishi hadi kustaafu kwao.

Waasisi Wa Kanisa
Categories
Documentary
Episodes
46
Donate to Hope Channel