Jiunga nasi tupate kujifunza kutoka bibilia ili tupate majibu ka maswala makuu ya maisha haya.
Ni nini haswa mtu anpaswa kujua kuhusu wokovu? Jiunge tupate jibu kwa hili swala
Mafunzo yanayo chipuka kutoka Bibilia na kutiliwa mkazo mwenendo wa kuishi ambao unafaa tuwe nao.