Uchambuzi wa Bibilia

Mafunzo yanayo chipuka kutoka Bibilia na kutiliwa mkazo mwenendo wa kuishi ambao unafaa tuwe nao.

Uchambuzi wa Bibilia

Videos

Mihuri saba

Kama vile tunavyoweza kuisikia na kuiona treni inavyotujia, vivyo hivyo tunaweza kuyaona matukio angani yakitujia. Andamana nasi tupate kuelewa zaidi mafunzo kuhusiana mihuri saba zilizoko katika ufunuo.

Matayarisho

Mambo yanayo huyu matayarisho, ni kuhusu sis kujiaanda kurudi kwake Yesu . Jiunge nasi katika mazungumzo haya tupate kujifunza pomoja.

Uwakili wa kutoa kwa shukrani

Jiunge na funzo la leo, huku makini kuu ikiwa ni katika funzo la kutoa kwa shukrani.

Kusdi Kikristo

Mara zote Mkristo anatakiwa kuwa radhi kuzichunguza imani zake. Katika upungufu twa himizwa kupitia maandishi na kiatbu cha warumi ambacho kimetuongoza robo hii ni kumtegemea Yesu.

Kuishinda Dhambi

Hivi basi, tutazidi tutenda dhambi maanake hatuokolewi na matendo ama Sheria? Usipitwe na mjadala huu!!

Adamu na Yesu

Warumi 5 yatuongoza katika majadiliano hapa Uchambuzi wa Bibilia Jiunge nasi katika Mazungumzo Tupate Kubarikiwa Pamoja!!

Warumi

Jiunge nasi katika makala pambe ya Uchambuzi wa Bibilia ambayo ni mwanzo wa mafunzo yaliyo andaliwa katika msururu wa miezi tatu chini ya kitabu cha Warumi.

Pambano

Jiunge nasi katika majadiliano hapa Hope Channel Kenya katika Uchambuzi wa bibilia. Twatumai tutabarikwa sote.

Hali ya Binadamu

Jiunge nasi katika majadiliano haya tupate kujifunza hali zetu potovu na jinsi tunavo hitaji wokovu.

Kuhesabiwa haki kwa Imani

Ni kwa imani na imani pekee ndio tutapata kuokolewa sio kwa matendo!!

Imani ya Ibrahimu

Maisha ya Ibrahimu katika safari yake ya Imani yatuongoza katika Makala haya pambe!!

About the Show

Mafunzo yanayo tujia moja kwa moja kutko maandiko matakatifu ya mwenyezi Mungu yanayo enzi kutubadilisha na kututayarisha ili kumpokea arudipo mawinguni. Jiunge nasi kila ijumaa hapa Hope Channel Kenya saa moja jioni tupate kuufungua sabato na mafunzo haya.

Hosts
Peter Sitati

Peter Sitati

Uchambuzi wa Bibilia
Hosts
Peter Sitati
Categories
Faith
Episodes
11
Donate to Hope Channel

You might also like

A moment at Jesus Feet

An in depth discussion derived from the bible packaged from Biblical experiences to lessons we can relate. Don't miss out!!

The Riser

A short sharing from the word to encourage and kick us of into our everyday duties.

Jibu kwa mashaka

Jiunga nasi tupate kujifunza kutoka bibilia ili tupate majibu ka maswala makuu ya maisha haya.