Sifa

Jiunge nasi kumsifu Mungu kupitia Nyimbo kutoka Vikundi mbali mbali vya Injili

Sifa

Videos

Bidii Youth Choir

Vijana kutoka Kitale wajiunga nasi kwa kupitia Nyimbo na tenzi za rohoni. Jiunge nasi tupate kebarikiwa pamoja.

Magena Youth Choir

Kutoka eneo la Magena iliyoko Kisii, Kikundi cha vijana cha Magena cha tuandalia Makala haya, jiunge nasi tupate kubarikiwa pamoja!!

Heir's of God's Kingdom

Subiri Subiri kidogo Bwana ajitukuze ndio wimbo wa kutuanzia katika makala haya pambe na choir kutoka sehemu za Nyanza.

Njoro Family Choir

Wakituanzia wimbo Busy, busy busy jiunge nasi tupate kumtukuza mwenyezi Mungu katika Sifa.

Redemption Singers

Moja kwa moja Kutoka Kisii jiunge na kikundi cha Redemption wakituandalia awamu hii ya Sifa.

Midot Youth Choir

Jiunge nasi katika sifa pamoja na wenzetu vijana kutoka kikundi cha Midot.

Githurai Youth Choir

Mada nyeti yazugumziwa katika makala haya pambe yaliyo andaliwa na kikundi cha waimbaji cha vijana kutoka Githurai. Pata kubarikiwa.

The Bridal Choir on Sifa Peace Edition

Umoja ni nguvu wetu ndio kiini kuu ya kuandaa makala haya. Jiunge nasi tubarikiwe!!

Music in my soul on SIfa

Kipindi cha mziki kinacho angazia nyimbo za kumsifu mwenyezi Mungu.

About the Show

Kipindi cha mziki kinacho angazia nyimbo za kumsifu mwenyezi Mungu. Hapa tunawapa waimbaji mbali mbali nafasi ya kukubariki kupitia kwa talanta yao ya mziki.

Host
Lavet Marwa Chacha

Lavet Marwa Chacha

Sifa
Hosts
Lavet Marwa Chacha
Categories
Music
Seasons
7
Episodes
37
Donate to Hope Channel

You might also like

Breathe of praise

Join in with us in praise through acapella music for its the breathe of God.

Beyond Musical Sounds

What you need to know about music. Andrew and Diane takes us through Music and it's impact on our society today.