All episodes

Maoni yako "Your opinion" / 0 VIEWS
Tutarejesha vipi Uhuiano?
Tutafanyaje ili tupate kurejesha umoja, na uhuiano bana na mgawanyiko wa kisiasa?

Uchambuzi wa Bibilia / 0 VIEWS
Hali ya Binadamu
Jiunge nasi katika majadiliano haya tupate kujifunza hali zetu potovu na jinsi tunavo hitaji wokovu.

Uchambuzi wa Bibilia / 0 VIEWS
Pambano
Jiunge nasi katika majadiliano hapa Hope Channel Kenya katika Uchambuzi wa bibilia. Twatumai tutabarikwa sote.

Uchambuzi wa Bibilia / 0 VIEWS
Warumi
Jiunge nasi katika makala pambe ya Uchambuzi wa Bibilia ambayo ni mwanzo wa mafunzo yaliyo andaliwa katika msururu wa miezi tatu chini ya kitabu cha Warumi.

A moment at Jesus Feet / 0 VIEWS
The Human Condition
Has humanity been improving or deteriorating in the heavenly standards? Join us as we look at this aspect through Paul's writings to the Romans.

A moment at Jesus Feet / 0 VIEWS
The Great Battle
Join us in this wonderful biblical discussion based on Romans. Send in your comments and questions on the comments section below and we will get back to you.

Sifa / 0 VIEWS
Githurai Youth Choir
Mada nyeti yazugumziwa katika makala haya pambe yaliyo andaliwa na kikundi cha waimbaji cha vijana kutoka Githurai. Pata kubarikiwa.

Sifa / 0 VIEWS
Midot Youth Choir
Jiunge nasi katika sifa pamoja na wenzetu vijana kutoka kikundi cha Midot.

Sifa / 0 VIEWS
Redemption Singers
Moja kwa moja Kutoka Kisii jiunge na kikundi cha Redemption wakituandalia awamu hii ya Sifa.