Music in my soul on SIfa
 

Sifa / 0 LIKES

Kipindi cha mziki kinacho angazia nyimbo za kumsifu mwenyezi Mungu.

 
Githurai Youth Choir
 

Sifa / 0 LIKES

Mada nyeti yazugumziwa katika makala haya pambe yaliyo andaliwa na kikundi cha waimbaji cha vijana kutoka Githurai. Pata kubarikiwa.

 
Midot Youth Choir
 

Sifa / 0 LIKES

Jiunge nasi katika sifa pamoja na wenzetu vijana kutoka kikundi cha Midot.

 
Redemption Singers
 

Sifa / 0 LIKES

Moja kwa moja Kutoka Kisii jiunge na kikundi cha Redemption wakituandalia awamu hii ya Sifa.

 
Light Divine Choir
 

Sifa / 0 LIKES

Pata kubarikiwa na waimbaji kutoka Nakuru katika kipindi ukipendacho cha Sifa.

 
Amazing Discoveries
 

Sifa / 0 LIKES

"Mungu mwema atulindaye ni mwaminifu, kila wakati, yeye aliye Mungu milimani ndiye Mungu hata bondeni" Pata Kubarikiwa

 
Njoro Family Choir
 

Sifa / 0 LIKES

Wakituanzia wimbo Busy, busy busy jiunge nasi tupate kumtukuza mwenyezi Mungu katika Sifa.

 
Heir's of God's Kingdom
 

Sifa / 0 LIKES

Subiri Subiri kidogo Bwana ajitukuze ndio wimbo wa kutuanzia katika makala haya pambe na choir kutoka sehemu za Nyanza.

 
Kampala Central Church
 

Sifa / 0 LIKES

All the way from Kampala, Uganda, Kampala Central Church Choir grace today's edition as we come to the close of the year. Be blessed.