Githurai Youth Choir
 

Sifa / November 09, 2017

Mada nyeti yazugumziwa katika makala haya pambe yaliyo andaliwa na kikundi cha waimbaji cha vijana kutoka Githurai. Pata kubarikiwa.

 
Music in my soul on SIfa
 

Sifa / August 17, 2017

Kipindi cha mziki kinacho angazia nyimbo za kumsifu mwenyezi Mungu.

 
Kisumu South S.D.A
 

Sifa / January 21, 2017

Moja kwa moja kutoka Eneo la Nyanza wanakwaya kutoka kanisa la Kisumu South yatuandalia makala haya pambe, Jiunge nasi tupate kubarikiwa!!