New Jerusalem
 

Sifa / 0 VIEWS

Moja kwa moja kutoka sehemu za Nyeri hapa Kenya Familia hii ya awaimbaji watuandalia makala haya ya Sifa.

 
Trumpet Chorale Choir
 

Sifa / 0 VIEWS

Kutoka studio zetu Kule Kisumu, Kenya Jiunge nasi katika ibada kupitia njia ya nyimbo.

 
Angelic Mininsters
 

Sifa / 0 VIEWS

Jiunge nasi katika ibada kupitia nyimbo nao waimbaji wa Angelic ministers.

 
Divine ministers
 

Sifa / 0 VIEWS

Barikia na ladha mpya na tofauti ya nyimbo nao wana Divine ministers. Karibu

 
Sister's of Grace
 

Sifa / 0 VIEWS

Jiunge naye mwelekezi wetu Lavet akituletea kikundi cha wanawake walioungana kumtumikia Mungu kupitia sauti zao.

 
Mercy brothers Singers
 

Sifa / 0 VIEWS

Wakituletea wimbo kama "Tawala naye Yesu aliyeshinda nguvu na maovu yake shetani." Jiunge nao Mercy Brothers kwa mibaraka.

 
Haki za watoto
 

Ijuma / 0 VIEWS

Kwenye makala ya Ujima, tunaangazia Maswala ya Haki za Watoto. Ungana na Msimulizi wetu Lavet Chacha ili ujifunze mengi

 
Great Zion Singers
 

Sifa / 0 VIEWS

Hii leo katika SIFA tunajadiliana kuhusu kazi ya fundi wa kitambo kwa ushirikiano na waimbaji wakitumia kanda za wimbo kanisani. Ungana na Lavet Chacha Marwa akiwahoji wana Great Zion Singers. Barikiwa.

 
Fountain  of Christ
 

Sifa / 0 VIEWS