All episodes

Sifa / 0 LIKES
Dominion Voices
Tunavalia njuga swala la matumizi ya picha za kuhofisha katika nakala zetu za video. Ndio swala tunaloliangazia ndani ya studio zetu tukiwa na Wanadominion Voices, Usikose!

Sifa / 0 LIKES
Kuja Nyakol Church Choir
Wengi wameitwa katika nyanja za uimbaji. Ushirikiano ni muhimu katika nyanja hii ila nyakati zingine mahusiano yetu ni ya kutia shaka. Katika studio zetu ijumaa hii tunaungana na wanaKuja Nyokal kwenye SIFA.

Sifa / 0 LIKES
Chepkoiyo Church Choir
Je watoto wanapobarikiwa na talanta ya uimbaji waitumie katika vikundi vya watoto ama kwaya ya watu wazima?. Ndani ya studio ni waimbaji toka kanisa ya Chepkwoyo. Barikiwa

Sifa / 0 LIKES
Tebeswet Choir
Ungana nasi nao wanakwaya moja kwa moja kutoka Eldoret wakituandalia makala haya pambe ya Sifa. Barikiwa