Sifa / Season 3

Sifa / April 03, 2019
New Jerusalem
Moja kwa moja kutoka sehemu za Nyeri hapa Kenya Familia hii ya awaimbaji watuandalia makala haya ya Sifa.

Sifa / April 03, 2019
Nakuru Girls High school
Wasichana wa Nakuru watuandalia makala haya ya sifa msimu huu. Barikiwa na nyimbo za kumtukuza Mwenyezi Mungu.

Sifa / April 03, 2019
SDA Cornerstone Church Choir
Pata kubarikiwa na choir ya Cornerstone katika makala haya pambe. Barikiwa

Sifa / February 27, 2019
Goodnews Harmony
Moja kwa moja kutoka studio zetu kule Kisumu Wana Goodnews Harmony choir watuandalia makala haya pambe ya Sifa SN.4

Sifa / October 21, 2018
Naivasha Central Church Choir & St.Georges Girls High School
Jiunge nasi kwa baraka kupitia nyimbo huku wanachoir wa naivasha ya kati wakitubariki kwa sehemu ya kwanza kisha wasichana kutoka St. Georges girls wakitutamatia makala haya pambe. Pata kubarikiwa

Sifa / July 11, 2018
Ruce Kids Choir
Choir ya watoto kutoka Ruiru watuandalia makala haya ya Sifa wakitubariki na nyimbo zao nzuri. Barikiwa

Sifa / May 30, 2018
Kitengela Medley
Safari ya makala ya Sifa medley hii leo ya pambwa na kwaya kutoka sehemu ya Kitengela. JIunge nasi tupate kufahamiana nao na kumsifu ,mwenyezi Mungu. Barikiwa

Sifa / May 23, 2018
Safari ya Sifa
Jiunge nasi tupate kutazama makala pambe ya sifa huku tukiangalia nyuma kwa kwaya ambazo zimepata kutuandalia Sifa juma zilizopita. Barikwa