Mercy brothers Singers
 

Sifa / April 08, 2019

Wakituletea wimbo kama "Tawala naye Yesu aliyeshinda nguvu na maovu yake shetani." Jiunge nao Mercy Brothers kwa mibaraka.

 
Sister's of Grace
 

Sifa / April 05, 2019

Jiunge naye mwelekezi wetu Lavet akituletea kikundi cha wanawake walioungana kumtumikia Mungu kupitia sauti zao.

 
Divine ministers
 

Sifa / April 03, 2019

Barikia na ladha mpya na tofauti ya nyimbo nao wana Divine ministers. Karibu

 
Angelic Mininsters
 

Sifa / April 03, 2019

Jiunge nasi katika ibada kupitia nyimbo nao waimbaji wa Angelic ministers.

 
Trumpet Chorale Choir
 

Sifa / April 03, 2019

Kutoka studio zetu Kule Kisumu, Kenya Jiunge nasi katika ibada kupitia njia ya nyimbo.