Uchambuzi wa Bibilia / Faith

Uchambuzi wa Bibilia / May 23, 2018
Matayarisho
Mambo yanayo huyu matayarisho, ni kuhusu sis kujiaanda kurudi kwake Yesu . Jiunge nasi katika mazungumzo haya tupate kujifunza pomoja.

Uchambuzi wa Bibilia / April 02, 2018
Uwakili wa kutoa kwa shukrani
Jiunge na funzo la leo, huku makini kuu ikiwa ni katika funzo la kutoa kwa shukrani.

Uchambuzi wa Bibilia / November 20, 2017
Kuishinda Dhambi
Hivi basi, tutazidi tutenda dhambi maanake hatuokolewi na matendo ama Sheria? Usipitwe na mjadala huu!!

Uchambuzi wa Bibilia / November 13, 2017
Adamu na Yesu
Warumi 5 yatuongoza katika majadiliano hapa Uchambuzi wa Bibilia Jiunge nasi katika Mazungumzo Tupate Kubarikiwa Pamoja!!

Uchambuzi wa Bibilia / November 07, 2017
Warumi
Jiunge nasi katika makala pambe ya Uchambuzi wa Bibilia ambayo ni mwanzo wa mafunzo yaliyo andaliwa katika msururu wa miezi tatu chini ya kitabu cha Warumi.

Uchambuzi wa Bibilia / November 07, 2017
Kuhesabiwa haki kwa Imani
Ni kwa imani na imani pekee ndio tutapata kuokolewa sio kwa matendo!!

Uchambuzi wa Bibilia / November 06, 2017
Imani ya Ibrahimu
Maisha ya Ibrahimu katika safari yake ya Imani yatuongoza katika Makala haya pambe!!